Kuna
tofauti kati ya Agano la Kale na Agano
jipya
·
Agano la Kale lilifanyika
pasipo kiapo cha Mungu Baba [Waebrania 7:20]
·
Agano la Kale lilizuiliwa
na mauti ya makuhani waliolifanya. Agano
Jipya Kuhani wake YESU KRISTO
anaishi milele [Waebrania7:24]
·
Agano la kale lilifanyika
kwa damu za wanyama ( kondoo, mbuzi na
ndama). Lakini Agano Jipya
limefanyika kwa DAMU YA YESU [Mwanadamu Kristo Yesu] [ Waebrania 9: 12-21]
·
Agano la kale ni sheria
inayotuonyesha Dhambi. Agano Jipyalinatoa suluhisho ya dhambi [ WOKOVU], Yohana
3:6
·
Agano la kale ni
linatuonyesha HUKUMU ya dhambi, lakini Agano Jipya linatuonyesha NEEMA NA
REHEMA ambayo iko juu ya sheria ya hukumu.
·
Agano la kale lina vitabu
39 na Agano Jipya lina vitabu 27
Biblia ni
kitabu cha Agano la Kwanza na la Pili chenye jumla ya maagano saba pamoja na
agano jipya.
1.
Agano la Edeni [ Edenic
Covenant]
2.
Agano la Adamu [ Adamic
Covenant]
3.
Agano la Nuhu [ Noahamic
Covenant]
4.
Agano la Musa [ Mosaic
Covenant]
5.
Agano la Ibrahimu
[Ibrahimic Covenant]
6.
Agano la Daudi [ Davidic
Covenant
7.
Agano Jipya [New Covenant]
Agano
lolote lina lina nguvu na kuna shehemu kuu tatu katika kila Agano kati
ya
Mungu na Mwanadamu na kati Mwanadamu na Mwadamu. Mkataba
wowote
unahusu sehemu kuu mbili za Mkataba. Sehemu kuu tatu za Agano ni
AHADI, MASHARTI NA MUHURI [PROMISE, CONDITIONS AND
SEAL]
World
Miracle Mission Center
P .o Box 78620 Dar es salaa
Tel 0754-69 20 19
thanks for what I learn God bless u
ReplyDeleteSomo zuri sanaa barikiwa mtumishi
ReplyDelete